Wizara ya Elimu inasema mgao wake ni mchache mno

  • | Citizen TV
    420 views

    Wizara ya elimu sasa imeambia bunge kuwa sekta ya elimu inazidi kulemazwa na ukosefu wa ufadhili wa kutosha kutoka kwa hazina ya kitaifa. Waziri wa elimu Migos Ogamba amesema hali hiyo inazidi kulemaza masomo katika shule za umma na kuwataka wabunge kuingilia kati,