Starlets yazamishwa na Morocco

  • | Citizen TV
    330 views

    Timu ya taifa ya kina dada Harambee Starlets ilinyeshewa mvua ya mabao matano kwa moja na wenyeji wao morocco kwenye mechi ya kirafiki iliyochezwa Marrakech usiku wa Jumatano.