Sheria kutoa fursa kwa mashirika ya kijamii kujidhibiti

  • | KBC Video
    21 views

    Mashirika yasiyo ya kiserikali na yale ya kimataifa yasiyo ya faida, yanayohudumu hapa nchini yatajidhibiti na kushiriki katika shughuli za kujipatia mapato pindi sheria kuhusu mashirika ya manufaa ya umma itakapotekelezwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive