Biashara I Taasisi za kifedha barani Afrika zatakiwa kuwianisha malipo

  • | KBC Video
    24 views

    Taasisi za kifedha barani Afrika zimehimizwa kukumbatia mfumo jumuishi wa malipo ili kupunguza shinikizo kwenye sarafu za mataifa husika na kukuza biashara barani humu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive