Waislamu ulimwenguni waadhiimisha sikukuu ya Eid Al Adh'a

  • | Citizen TV
    1,046 views

    Jumbe za amani na utangamano zilisheheni katika maadhimisho ya sikukuu ya Eid-Ul-Adha kote nchini. Waumuni walimiminika katika maeneo tofauti ya ibada na viwanja kuadhimisha sherehe maalum huku viongozi wakitaka waislamu kuwakumbuka wasiojiweza pamoja kukemea siasa za migawanyiko na ukabila.