Ruto atoa wito fedha zaidi zielekezwe katika miradi ya utunzaji mazingira

  • | KBC Video
    16 views

    Benki za ufadhili wa biashara na maendeleo barani Afrika, zimehimizwa kuelekeza fedha zaidi katika ufadhili wa miradi ya utunzaji mazingira. Wito huo ulitolewa na rais William Ruto, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya wakuu wa taifa na serikali wa muungano wa Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Rais Ruto alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wa mashauriano ya ngazi ya juu kuhusu mpango wa ustawi wa viwanda usiodhuru mazingira barani Afrika, katika ikulu ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive