MZIGO WA MISHAHARA KATIKA SEKTA YA UTUMISHI WA UMMA NA MAGEUZI YANAYOPANGWA

  • | K24 Video
    134 views

    Mishahara ya watumishi wa umma inaendelea kulemea uchumi wa Kenya. takriban nusu ya bajeti ijayo ya mwaka wa fedha 2025/26 ni mzigo huo wa mishahara na marupurupu katika matumizi ya kawaida ya serikali. katika makala maalum kuhusiana na bajeti ijayo. Mzigo wa mishahara katika sekta ya utumishi wa umma na mageuzi yanayopangwa