Serikali yanunua chanjo za Polio na BCG

  • | KBC Video
    10 views

    Serikali imenunua jumla ya dozi Milioni-6.2 za chanjo za Polio na BCG, katika hatua inayonuiwa kutatua uhaba wa bidhaa hizo humu katika baadhi ya maeneo hapa nchini. Katibu katika idara ya huduma za matibabu Dkt. Ouma Oluga amesema dozi Milioni-3.2 za chanjo ya Polio zinashughulikiwa katika bandari ya Mombasa huku zile za BCG zikitarajiwa kuwasilishwa humu nchini wiki ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive