Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Bungoma kusaini mkataba na CGA katika mafunzo ya kilimo cha Mabanga, Kabuchai

  • | NTV Video
    70 views
    Duration: 1:55
    Wakulima zaidi ya elfu 37 katika Kaunti ya Bungoma wanatarajiwa kunufaika na mpango wa kuimarisha kilimo cha nafaka baada ya Serikali ya Kaunti hiyo kusaini mkataba na Chama cha Wakulima wa Nafaka (CGA) katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo cha Mabanga, Kabuchai. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya