Mahakama yasitisha kwa muda shughuli za shirika la uwakala

  • | Citizen TV
    537 views

    Wakazi wengi waliitaka serikali ya kaunti kuelezea ilivyotumia fedha za bajeti ya mwaka jana kwanza. Kulingana nao, hakuna miradi ya maendeleo yoyote katika kaunti hiyo na mikutano hiyo haitafanyika hadi serkali ya kaunti ielezee zilikokwenda zaidi ya shilingi bilioni mbili fedha za bajeti za mwaka jana wanazodai zimefujwa.