Polisi eneo la Uhuru Market wachunguza kisa cha mauaji

  • | Citizen TV
    1,362 views

    Maafisa wa polisi katika kituo cha jogoo road hapa nairobi wamemtia nguvuni mshukiwa wa mauaji , aliyemvamia mwanamke mmoja katika eneo lake la kazi, kumdunga kisu na kumuua…..inaarifiwa kuwa mshukiwa huyo, augustine neto , aliwai kuwa na mahusiano na mwanamke huyo kisha wakatengana ..familia ya mwendazake imeanza safari ya kusaka haki kama anavyoarifu frankline wallah.