Watu wanne wafariki na watano kujeruhiwa mgodini

  • | Citizen TV
    908 views

    Watu wanne wamefariki na wengine watano kujeruhiwa baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka alfajiri ya jumamosi katika kijiji cha karon, kaunti ya west pokot. Kwa mujibu wa polisi , mkasa huo ulitokea majira ya saa tisa usiku wakati wachimbaji dhahabu walikuwa ndani ya shimo lililoporomoka ghafla.