Safaricom yaandaa tamasha ya Mpesa sokoni Mombasa

  • | Citizen TV
    273 views

    Mamia ya wakazi wa Mombasa na viunga vyake walijitokeza kwenye tamasha ya MPESA sokoni, katika uwanja wa sports club. hafla hiyo iliwavutia wateja wa safaricom na wanaotumia jukwaa la safaricom kwa biashara mtandaoni katika mazingira ya soko. elizabeth Makokha kutoka changamwe amejishindia shilingi 180,000 kwenye mchezo wa Mpesa ama box.