Maafisa 8 ikiwemo OCS wa Central Police wasimamishwa kazi kuhusiana na kifo cha Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    5,029 views

    Maafisa 8 wa kituo cha polisi cha Central hapa Nairobi, akiwemo mkuu wa kituo hicho Charles Rono ni miongoni mwa waliosimamishwa kazi, kufuatia kifo cha albert ojwang’ . Inspekta jerenali wa polisi douglas kanja akisema kuwa naibu wake Eliud Lagat ndiye alikuwa mlalamishi katika kesi dhidi ya Albert.