Wanaharakati walalamikia kifo cha mwanablogu Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    1,709 views

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu waliandamana nje ya makafani ya nairobi na kituo cha polisi cha Central kufuatia kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang. Waandamanaji wakipiga kambi kushinikiza haki kwa kile walichokitaja kuwa mauwaji yaliyotekelezwa na maafisa wa usalama. Kuchelewa kwa upasuaji wa maiti pia kumeibua suintofahamu.