Wizi kanisani Kirinyaga

  • | Citizen TV
    605 views

    Polisi kaunti ya Kirinyaga wameanzisha uchunguzi kufuatia tukio la wizi katika Kanisa la ACK All Saints eneo la Gatwe. Majambazi walivamia kanisa hilo, na kuiba mali ya kanisa na hata kunywa divai na mikate ya sakramenti.