Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume mfichua ufisadi Kisii ashambuliwa tena, maswali kuhusu usalama wake yajitokeza

  • | Citizen TV
    907 views
    Duration: 2:30
    Mwanamume aliyefichua ufisadi katika kaunti ya Kisii ameshambuliwa kwa mara nyingine kwenye tukio lililoibua maswali kuhusiana na mikakati ya kuwalinda wafichuzi. Justin Siocha alivamiwa na kujeruhiwa baada ya watu wasiojulikana kuvamia gari lake akiwa na familia yake.