5 Nov 2025 7:54 pm | Citizen TV 90 views Duration: 3:15 Teknolojia ya upandikizaji inatumiwa kuzalisha mamilioni ya miche ya mikalatusi karibu na Msitu wa Karura ulioko jijini Nairobi. Ubunifu huu unalenga kuongeza natija endelevu katika sekta ya misitu