5 Nov 2025 7:55 pm | Citizen TV 68 views Duration: 1:26 Msafara wa Jipange na Viusasa kwa ushirikiano na Royal Media Services umeingia ukanda wa Magharibi, ambapo wakazi wa Kakamega wamepata fursa ya kipekee kukutana na watangazaji nguli wa Radio Citizen, Vuuka na Mulembe FM