5 Nov 2025 7:56 pm | Citizen TV 91 views Duration: 54s Mabingwa watetezi Kenya Police Fc hatimaye wametoka eneo la hatari baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sofapaka katika mechi ya pekee ya ligi kuu ya Kenya iliyochezwa kwenye uwanja wa police sacco mjini Nairobi.