- 669 viewsDuration: 2:41Serikali ya Sudan inaunga mkono uamuzi wa Mahakama ya kimataifa ya ICC ya kuanzisha uchunguzi wa maafa yanayoendelea katika jimbo la Darfur, nchini Sudan. Aidha, balozi wa Sudan nchini Kenya Mohammed Osman amesema kwamba serikali ya Sudan itawasiliana na Kenya kidiplomasia kusaidia kutafuta amani nchini humo