- 152 viewsDuration: 1:41Serikali imekiri kuwa imesambaza shilingi bilioni 1.1 kwa shule hewa nchini. Akizungumza bungeni kuhusiana na fedha za kufadhili masomo katika shule za umma, waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amesema kuwa shule kumi zimefungwa kwasababu ya kutokuwa na wanafunzi wa kutosha, huku shule 934 zikisubiri kupigwa msasa. Wabunge walimshtumu waziri Ogamba kwa kukithiri kwa ufisadi katika wizara hiyo