Dawa ya HIV aina ya Nevirapine yakosekana nchini

  • | Citizen TV
    306 views

    Serikali sasa imetakiwa kutenga fedha zaidi za kununua dawa muhimu za HIV ili kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo kutoka kwa mama hadi mtoto.