- 838 viewsLeo katika Waridi wa BBC ,kimemulika maisha na mchango wa Bi. Khadija Mwanamboka, mwanamitindo mashuhuri kutoka Tanzania, ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuleta mabadiliko chanya ndani ya tasnia ya mitindo. Kwa zaidi ya miaka 25, Khadija amejitokeza kama mfano wa kuigwa, si tu kwa ubunifu wake bali pia kwa kazi yake ya kuwajengea uwezo wanawake nchini Tanzania. Ametumia majukwaa ya mitindo kama chombo cha kuwainua wanawake kiuchumi na kijamii, kupitia miradi na mafunzo mbalimbali. Katika juhudi za Tanzania kupata utambulisho wake wa kitaifa kupitia vazi rasmi, Bi. Khadija ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati maalum ya kuandaa vazi la taifa. Katika mahojiano na mwandishi wa BBC @elizabethkazibure amefichua baadhi ya siri na vigezo vilivyozingatiwa katika kubuni vazi hilo, vikiwemo rangi za bendera ya Tanzania, na usasa wa Mtanzania. - - 📹@frankmavura @enamuhisa #bbcswahili #mitindo #fashion #khadijamwanamboka #vazilataifa #watoto #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
BBC News Swahili
- - Salasya calls for IPOA disbandment ››
- 14 Jun 2025 - Baba Dogo residents clashed with police on Friday as they tried to salvage their belongings following an eviction from the Baba Dogo playground.
- 14 Jun 2025 - A massive fire erupted in the early hours of Saturday at Barnabas, just a few kilometres from Nakuru town.
- 14 Jun 2025 - Demonstrations rocked Oyugis town in Homa Bay County as residents took to the streets on Friday, demanding that all top officers implicated in the murder of Albert Ojwang’ be arrested forthwith.
- 14 Jun 2025 - Coca-Cola Kenya delighted the top leadership of Royal Media Services (RMS) with personalised cans of Coke during a courtesy visit as part of its ongoing ‘Share a Coke’ campaign.
- 14 Jun 2025 - Iran and Israel traded missiles and airstrikes on Saturday, the day after Israel launched a sweeping air offensive against its old enemy, killing commanders and scientists and bombing nuclear sites in a stated bid to stop it from building an atomic…
- 14 Jun 2025 - FKF President Hussein Mohammed has now broken his silence following the death of McDonald Mariga and Victor Wanyama’s mother, joining the growing list of Kenyans mourning with the family of the football legends. In a statement posted on his X account on…
- 14 Jun 2025 - Traffic marshals and police have been strategically stationed to ensure motorists comply with the closure.
- 14 Jun 2025 - By Friday, detectives backed by Ipoa officers were in hot pursuit of three more police officers.
- 14 Jun 2025 - In some counties, over 90 per cent of staff belong to a single ethnic group.
- 14 Jun 2025 - Here are the photos that summed up this week.