Siku 1000 za Ruto: Kalani Muema ni baadhi ya Vijana waliotekwa nyara na hawajapatikana

  • | NTV Video
    1,427 views

    Mahali alipo Kalani Muema aliyetekwa nyara eneo la Mlolongo, Disemba mwaka jana bado ni kitendawili. Muema alikuwa miongoni mwa wanaume watatu waliochukuliwa kwa nguvu na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya