DIG Eliud Lagat atakiwa kung’atuka ofisini kutokana na mauaji ya Albert Ojwang

  • | NTV Video
    3,504 views

    Naibu inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat ametakiwa kung’atuka ofisini kutokana na mauaji ya Albert Ojwang. Hii ni baada ya kuibuka kwamba yeye ndiye mlalamishi mkuu dhidi ya mwanablogu huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya