Familia ya Edward Kipchumba yaitaka serikali kufichua aliko jamaa yao

  • | NTV Video
    1,769 views

    Familia ya Edward Kipchumba, mhudumu wa afya, anayedaiwa kutekwa nyara na maafisa wa usalama katika eneo la Kerio Valley, zaidi ya wiki moja iliyopita, sasa wanaitaka serikali kueleza aliko jamaa wao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya