Shehena za chanjo zimewasili nchini

  • | Citizen TV
    349 views

    Hatimaye shehena ya dozi milioni 3.2 za chanjo ya ugonjwa wa polio na dozi milioni 3 za chanjo ya BCG inayotumiwa kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu zimewasili nchini. Kuwasili kwa chanjo hizo kumewapunguzia mahangaiko na wasiwasi wazazi ambao wamekuwa wakisubiri chanjo hizo kwa miezi kadhaa.