Mgao wa sekta ya kilimo umepungua pakubwa mwaka huu

  • | Citizen TV
    400 views

    Sekta ya Kilimo nayo imepunguziwa mgao wake kwenye bajeti ya mwaka huu ikipewa shilingi bilioni 47 kutoka shilingi bilioni 60 za mwaka uliopita. Sekta ya afya nayo imetengewa shilingi bilioni 138 kufanikisha shughuli mbalimbali za afya ukiwemo mpango wa afya wa SHA.