Sekta ya Elimu yapata mgao wa shilingi 702.7B

  • | Citizen TV
    605 views

    Sekta ya Elimu imetengewa mgao mkubwa zaidi katika makadirio ya bajeti ya mwaka huu wa kifedha. Kati ya bajeti ya serikali ya shilingi Trilioni 4.29, sekta ya elimu itapokezwa shilingi bilioni 702 kugharamia miongoni mwa majukumu mengine elimu msingi na upili ya bure na hata mitihani. Waziri wa hazina kuu John Mbadi akisoma bajeti hii amesema kuwa huenda wazazi sasa wakahitajika kuanza kuchangia malipo ya mitihani,