Hospitali ya Mbagathi yasema Albert Ojwang aliaga kabla kufika

  • | Citizen TV
    6,194 views

    Sasa inabainika kuwa marehemu Albert Ojwang alikuwa ameshafariki kitambo kabla ya maiti yake kufikishwa katika makafani ya hospitali ya Mbagathi hapa Nairobi. Ripoti kutoka hospitali hiyo ikionyesha kuwa, Albert alifikishwa kwenye hifadhi hiyo ya maiti saa nane usiku wa jumapili. Ripoti hiyo pia ikiarifu kuwa alifariki katika kituo cha polisi cha Central.