Viongozi wa makanisa wanataka mauaji kukomeshwa

  • | Citizen TV
    707 views

    Viongozi wa makanisa kutoka maeneo mbalimbali nchini sasa wanatoa wito kwa Rais William Ruto kusitisha mara moja mauaji ya kiholela ya vijana yanayokisiwa kuendelezwa na maafisa wa usalama.