Mwili wa mtoto wa miaka 10 wafukuliwa

  • | Citizen TV
    4,205 views

    Familia moja katika kijiji cha Shirakalu kaunti ya Kakamega inalilia haki kuhusiana na ubakaji wa mtoto wao aliyekuwa na umri wa miaka 10.