Mtoto wa miaka 5 afariki baada ya kurushwa ghorofani

  • | NTV Video
    1,988 views

    Wakazi wa Jacaranda Garden hapa jijini Nairobi wameshangazwa na tukio la mjomba ambaye alimrusha mtoto wa umri wa miaka mitano Amanda Mutheu Vingu kutoka kwenye ghorofa la pili hadi chini na kumwacha na majerahi mabaya ambayo yalimpelekea kufa dakika chache baada ya kufikishwa hospitali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya