Makanisa yaikosoa serikali kutokana na mauaji nchini

  • | Citizen TV
    590 views

    Muungano wa makanisa ya kipentekoste nchini (PVK) umelaani vikali mauaji ya kikatili ya mwalimu Albert Ojwang akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Wakati huohuo, Baraza la Wazee wa jamii ya Waluo jijini Nairobi pia limelaani msururu wa visa vya utekaji nyara na mauaji ya vijana, akiwemo Ojwang.