Garissa na Samburu waanza mageuzi ya afya kwa usajili wa SHA

  • | NTV Video
    44 views

    Kaunti za Garissa na Samburu sasa zimeingia rasmi kwenye ramani ya mageuzi ya huduma za afya nchini Kenya. Kupitia uzinduzi wa usajili wa SHA na mabadiliko ya kidijitali kwenye vituo vya afya, maelfu ya wakazi wamepata fursa ya kuhudumiwa kwa gharama nafuu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya