Viongozi wa upinzani wataka Elid Lagat na Amin Mohamed kujiuzulu kufuatia kifo cha Albert Ojwang'

  • | Citizen TV
    2,900 views

    Sauti Za Upinzani Wameendelea Kushutumu Mauaji Ya Albert Ojwang Wanasiasa Wa Upinzani Wamtaka Lagat, Amin Kujiuzulu Wakosoa Serikali Kwa Visa Vya Mauaji Na Utekaji Nyara