Kumbukumbu za Maumivu Mwaka Mmoja Baada ya Maandamano ya Gen Z

  • | K24 Video
    155 views

    Nchini Kenya, maandamano yamekuwa sauti ya wanaotaka mabadiliko. Lakini nyuma ya mabango na nyimbo, kuna maumivu ya maisha yaliyopotea, familia zilizoumizwa, na haki iliyocheleweshwa. Tunapotimiza mwaka mmoja tangu maandamano ya kizazi cha Gen Z dhidi ya Mswada wa Fedha wa 2024, tunakumbuka waliolipa gharama kubwa zaidi.