Mashambulizi ya makombora kati ya Iran na Israel

  • | BBC Swahili
    11,821 views
    Jeshi la Israel limesema kuwa maeneo kadhaa yamelengwa na shambulio la hivi punde la makombora kutoka Iran siku ya Jumatatu, huku vikosi vya zimamoto vikiripoti kuwa jengo la makazi limeathirika katika pwani ya Bahari ya Mediterania nchini humo. Milipuko mikubwa ilisikika katika miji mbalimbali, ikiwemo Tel Aviv na Jerusalem, wakati makombora ya Iran yakijaribu kudunguliwa na mfumo wa ulinzi wa anga maarufu wa Iron Dome. Mwandishi wa BBC Munira Hussen anatuhabarisha - - #bbcswahili #iran #israel #makombora #jerusalem Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw