6 Nov 2025 10:09 am | Citizen TV 922 views Duration: 2:19 Watu wawili wamefariki, huku wengine watano wakiwa katika hali mahututi hospitalini baada ya kunywa pombe haramu inayokisiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ngitana, Igembe Kaskazini kaunti ya Meru.