6 Nov 2025 10:13 am | Citizen TV 310 views Duration: 1:19 Huzuni ilitanda katika Kijiji cha Muyeye eneo bunge Malindi wakati wa mazishi ya aliyekuwa afisa wa GSU Isaac Ngala aliyeaga dunia katika msitu wa Shakahola miaka miwili iliyopita.