Nzoia Sugar FC Yapata Mkombozi Baada ya Kupata Mfadhili Mpya – Kampuni West Kenya

  • | NTV Video
    76 views

    Masaibu ambayo yamekuwa yakiimba Nzoia Sugar FC ya kukosa ufadhili na kusababisha kushushwa ngazi kutoka ligi kuu ya soka humu nchini huenda yakazikwa katika kaburi la sahau baada ya kupata mfadhili mpya ambaye ni kampuni ya West Kenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya