- 369 viewsDuration: 7:53Sherehe za kitamaduni za jamii ya Maa zimetoa nafasi Kwa biashara hasa ya ushanga na bidhaa mbalimbali kunoga, katika eneo la Amboseli. Kina mama wanaouza ushanga na bidhaa zingine Kwa maelfu ya wageni ambao wanahudhuria hafla hiyo, wanasema Kuna haja ya Serikali kuimarisha soko la shanga ili kuimarisha mapato yao.