Serikali yawaonya maafisa wanaoendesha biashara ya mihadarati

  • | Citizen TV
    162 views

    Serikali imetoa onyo kali kwa watumishi wa umma watakaopatikana wakihusika katika biashara haramu ya dawa za kulevya na bidhaa bandia katika kaunti ya Marsabit.