Wakulima wapewa vifaa vya kisasa Tseikuru kaunti ya Kitui

  • | Citizen TV
    97 views

    Wakulima kutoka maeneo tofauti tofauti ya kaunti ndogo ya Tsekuru kaunti ya Kitui wamenufaika na vifaa vya kisasa vya ukulima.