6 Nov 2025 10:43 am | Citizen TV 114 views Duration: 1:53 Wawakilishi wadi Kutoka Kaunti ya Kericho wamejitokeza na kutaka majibu kuhusiana na bonasi duni ya majani chai katika sehemu ya magharibi mwa bonde la ufa.