6 Nov 2025 10:52 am | Citizen TV 207 views Duration: 1:57 Katika kaunti ya Kitui, Wakulima wamehimizwa kupanda mimea ambayo inaweza kustahimili kiangazi kufuatia utabiri wa hali ya hewa kuwa eneo hilo litapata mvua ya kiwango cha chini ya wastani.