viongozi wa kanisa walalamikia unyanyasaji wa polisi

  • | Citizen TV
    236 views

    Wachungaji wa kanisa la Kiadventista katika kaunti ya Nyamira wamejitokeza kukemea utekaji nyara na mauaji ya kiholela, yanayodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi nchini.