Kina mama wajawazito waripotiwa kufariki kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    391 views

    Wakfu wa Fanikisha unaojihusisha na afya ya uzazi na watoto umeibua wasiwasi wa ongezeko la vifo vya kina mama wajawazito wanaoaga dunia kabla, wakatai na hata baada ya kujifungua katika kaunti ya Kwale.