Mafunzo ya kiufundi Gerezani

  • | Citizen TV
    104 views

    Wafungwa gerezani Lodwar wametakiwa kutilia maanani masomo ya kiufundi wanayopata wakiwa humo kwani yatawasaidia kuishi na kuchuma kipato pindi tu wanapotamatisha kifungo chao gerezani